Hali ya kijamii na kiuchumi ya viongozi wa vituo vidogo via eneo la Nyalukemba katika mtaa wa Ibanda mjini Bukavu inawatia wasiwasi Viongozi Wanawake wa jimbo ya Kivu ya Kivu ya Kusini. Wanawake hawa waliandaa mazungumzo na wahusika siku ya tatu tarehe makumi mbili na mbili mwezi uliyopita katika ofisi ya mtaa iliyoko nafasi Mulamba. Mratibu wa muundo huu wa wanawake , Aimé Matabaro ndiye mwalikwa wetu anaye jibu kwa masuali ya Jean Kasami./sites/default/files/2023-04/invite_swahili_aime_matabaro_web.mp3