Katika mtaa wa Beni kijiji cha Kalunguta katika eneo la Buliki kimekumbwa na ukosefu wa usalama kwa wiki kadhaa. Mashambulizi ya watu wenye kumiliki silaha na mauaji ya raia yanahesabiwa shirika ya kiraia ya eneo hilo. Hali hii inasababishwa na nini na viongozi wafanye nini ili kuwalinda wakazi wa eneo hili? Ili kulizungumzia swala hili, tunampokea kiongozi wa jumuiya ya kiraia ya eneo la Buliki. Arsène MUMBERE LIMBADU anazungumza na André KITENGE./sites/default/files/2023-06/invitematin_web.mp3