Mwalikwa wetu ni Daktari Mwanza Nangunia , daktari wa watoto kutoka mji wa Bukavu anayehudumia watoto wenye ugonjwa wa upungufu wa damu SS. Anazungumza kuhusu ugonjwa huo inchini Kongo. Mwanzi Nangunia anajibu kwa maswali ya Emmanuel ELAMEJI wa Kabedi./sites/default/files/2023-06/invite_du_jeudi_web.mp3