Mwalikwa wetu ni Espérance Kizungu daktari na anasimamia wasichana bikira katika shirika liitwao "Muungano wa wasichana bikira mjini Beni". Lengo ni kuwahimiza kulinda hali yao ya ubikira hadi kuolewa, haswa kwa nia ya kuzuia mimba za utotoni, ambazo zinaweza kuharibu maisha yao ya baadaye. Daktari Espérance Kizungu anazungumza na Sadiki Abubakar./sites/default/files/2023-06/invite_swahili_vendredi_matin.mp3