Luteni Kanali Kevin Biabato, msemaji wa jeshi la Monusco

Kikosi cha MONUSCO kiliendelea na operesheni wiki hii kwa zidi ya makundi yenyi silaha  katika majimbo matatu ya mashariki mwa Kongo. Hili ni miongoni mwa maeneo mengine katika eneo lililoathiriwa na uharakati wa waasi wa CODECO huko Ituri, lakini pia katika eneo la Kitshanga ambako kuna mapigano kati ya makundi yenye silaha na M23 jimboni Kivu ya Kaskazini. Ili kulizungumzia suali hili, tunampokeya  msemaji wa Jeshi la MONUSCO. Luteni Kanali Kevin Biabato  anazungumza na Bernardin Nyangi./sites/default/files/2023-10/invite_swahili_web_.mp3