
Mwalikwa wetu ni mtaalamu ahusikaye na malisho mema kwenye hospitali ya Beni. Kakule Vyambera anashahuriya kukula machungwa na maboga kila siku. Ni kwa sababu chakula cha mtindo huo, kinaepusha hasara nyingi kwa maisha ya watu. Anahojiwa na Guilaine Kasasya./sites/default/files/2024-02/invite_swahili_de_ce_vendredi_matin_web.mp3







