Elisabeth Bitasimwa: Bahari yetu haitoi tena samaki sababu ya waharibifu

Katika Kivu Kaskazini- Eeneo la uvuvi la Vitshumbi lilio kwa umbali wa takriban kilomita mia moja makumi ine kutoka mji wa Goma katika tarafa la Rutshuru linarekodi kupungua kwa uzalishaji wa uvuvi. Hali inaathiri sana maisha ya kijamii na kiuchumi ya wakaazi wa eneo hili. Mgeni wetu leo, mkuu wa vyama vya wanawake wa eneo hilo, Elisabeth Bitasimwa anazungumzia madhara hasa umaskini na unyanyasaji wa kijinsia miongoni mwa wanawake na watoto. Anazungumza na Sifa Maguru.

/sites/default/files/2024-02/150224-p-s-invitegomaelisabethbitasimwa-00-web_0.mp3