Belinda Furaha: Hizi siku tunateseka kwani M23 imefunga njia

Tunampokea kama mgeni wa leo: Bi. Belinda Furaha, muuzaji wa mazao ya kilimo kutoka Minova, huko Kivu Kaskazini,  hususan mboga, matunda na mengineyo. Katika mahojiano haya na Bernardine Diambu, anatueleza kuhusu matatizo anayokumbana nayo wakati akiendesha biashara yake ndogo ya kupeleka bidhaa zake hadi mjini Goma.

/sites/default/files/2024-02/210224-p-s-invitegomabelindafuraha-00-web.mp3