MURHONZI Patient: Kujiepusha na ujeuri wakati wa uchaguzi hatuwezi bila wahariri

Kundi la SIMAMA CONGO linahusisha waandishi wa habari wa ndani katika mapambano na kuzuia ujeuri wa uchaguzi katika jimbo la Kivu Kusini. Wakati wa mafunzo ya siku mbili iliyoandaliwa Bukavu, mpango wa elimu ya uraia wa uchaguzi wa COSIC -SIMAMA CONGO uliwaalika wanahabari kutoeneza jumbe za chuki katika kipindi hiki cha baada ya uchaguzi. MURHONZI  Patient, mwezeshaji wa programu ya COSIC ndiye Mgeni wetu kwenye kipaza sauti cha Jean Kasami.

/sites/default/files/2024-02/220224-p-sinvitebukavumurhonzipatient-00-web.mp3