Kabuo Kataka Clarisse: Waasi wanatuzuia kuchukua chakula mashambani

 


Katika Kivu Kaskazini- wakikabiliwa na jeuri za kila aina wanapoenda mashambani kutafuta chakula, wanawake wa Kibirizi na maeneo mengine ya Bwito huko Rutshuru wanasema wanateseka na madhara ya vita vya M23. Katika ngazi ya kiuchumi, wakulima hawa wanawake hawajui jinsi ya kukusanya mazao yao mashambani kwa sababu ya makundi yenye silaha. Kabuo Kataka Clarisse mshauri wa wanawake katika kijiji cha Kibirizi ndiye mgeni wetu. Anaeleza hali ilivyo katika mahojiano haya na Sifa Maguru huko Rwindi.

/sites/default/files/2024-02/230224-p-s-invitegomakabuokatakaclarisse-00-web.mp3