Charles Balagizi: Wakazi wafanye ange na nafasi zenyi kuwa na mazuku

Charles Balagizi, mkurugenzi wa kisayansi wa OVG, ndiye mgeni wetu leo. Anazungumza kuhusu wito huu uliotolewa kwa wakazi wote, hasa wakimbizi kutoka mhimili wa Sake-Masisi, kuwa waangalifu kuhusu hatari inayohusishwa na mkusanyiko wa hewa ya ukaa katika maeneo fulani karibu na kambi za wakimbizi. Charles Balagizi akijibu maswali ya Sifa Maguru.

/sites/default/files/2024-03/050324-p-s-invitegomacharlesblagizi-00-web.mp3