Daniel Lungele: Wote wanaofika hapa wanapata kile wanachokitafuta

Mgeni wetu ni Daniel Lungele. Anakodisha eneo la upana wa sentimita makumi ine kati ya majengo mawili ili kuweka duka lake la vifaa katikati mwa jiji la Goma, kwenye mhimili wa Stade des Volcans kuelekea njiapanda Tshukudu. Aliita duka lake la vifaa "Kila kitu kipo", ambako anafanya kazi na msaidizi wake. Katika mahojiano haya na Rosalie Zawadi, anatushirikisha ujasiri wake.

/sites/default/files/2024-03/210324-p-s-invitegomadaniellungele-00-web.mp3