Jean-Emmanuel MIHIGO: Wakimbizi wana shida ya kutojua wandugu walienda wapi

Kamati ya kimataifa ya Msalaba Mwekundu imekuwa ikifanya majaribio kwa muda na mradi wa PLF, "ulinzi wa mahusiano ya familia". Mradi huu unalenga kuunganisha familia ambazo washiriki wao walitenganishwa kufuatana na vita. Jean-Emmanuel MIHIGO, mkuu wa mradi wa PLF katika CICR/Kivu Kaskazini, anatueleza kulihusu katika mahojiano haya yaliyofanywa na Chris MUKAND.

/sites/default/files/2024-04/110424-p-s-invitegomajeanemmanuelmihigo-00-web.mp3