Pius Bikungu : Wagombea wamezoea kuchelewa kila siku

Ni mwisho Siku ya ine hii, tarehe tisa Mei, ya mapokezi ya faili za wa wagombea wa uchaguzi wa manispaa katika jimbo la Kivu Kusini. Tawi la CENi la Kivu Kusini kwa bahati mbaya linabainisha kuwa wagombea hawaonyeshi shauku ya kutosha. Katibu mtendaji wa mkoa wa Kivu Kusini, PIUS BIKUNGU anadhani kuwa CENI inafaa kukomesha kuongeza  Siku ili kuwachochea wagombea  wanao uzoefu wa kuchelewa. Yeye ndiye mgeni wetu, anazungumza na Jean Kasami.

/sites/default/files/2024-05/10052024-p-s-invitebukavupiusbikungu-00-web_0.mp3