Dieudonné MAKi: Wengi wa wakazi hawashurulikiye usafi

Shirika lisilo la kiserikali la Ville Propre linaongeza ufahamu miongoni mwa wakazi wa Bunia kuhusu usimamizi wa taka taka. Mratibu wake anatoa wito wa kuhusika kwa kila mtu, kama vile serikali na washirika wake, kuweka utamaduni wa afya katika mji mkuu wa mkoa wa Ituri na katika miji mikubwa. Dieudonné MAKi, mratibu wa Shirika lisilo la kiserikali la Ville Propre, akizungumza na Isaac REMO.

/sites/default/files/2024-05/140524-p-s-buniainvitedieudonnemakisalubrite-00-web.mp3