Mwanasheria Joseph KONGOLO KAHAMBWE : Tunapenda vijana wetu wabadilike

Tunamkaribisha kama mgeni, Mwanasheria Joseph KONGOLO KAHAMBWE, mkuu wa klabu ya wajasiriamali na wasimamizi wa Maniema. Klabu hii inaandaa mashindano ya kitaifa ya vijana kuhusu ustaarabu wa uraia. Na mada ni Mshikamano na Uzalendo. Lengo ni kukuza uraia miongoni mwa vijana. Mwanasheria Joseph KONGOLO KAHAMBWE azungumza na Florence KIZA LUNGA.

/sites/default/files/2024-05/150524-p-s-kinduinvitemejosephkongolo-00-web.mp3