Maonyesho ya kimataifa yaliyoandaliwa kutoka tarehe saba hadi makumi mbili na moja Mei huko Bukavu yalifungwa wiki iliyopita. Mfanyabiashara mmoja wa Tanzania SHUZA MAHWA alishiriki kikamilifu kuanzia mwanzo hadi mwisho. Yeye ndiye mgeni wetu wa Siku, Jean Kasami alikutana naye siku moja kabla ya kufungwa kwa maonyesho hayo.
/sites/default/files/2024-05/290524-p-s-invitebukavushuzamahwa-00-web.mp3