Jean Moreau Tubibu, mtetezi wa jamii na mwanamemba wa kikundi Jeremie mjini Bukavu

Ni nini lazima kifanyike ili kuepuka visa vingi vya moto ambavyo vimeenea katika mji wa  Bukavu? Jean Moreau TUBIBU, mwanemba wa Kikundi cha Jeremie, anapendekeza kwa  viongozi kutekeleza mipango ya ujenzi bora wa mji. Jean Moreau Tubibu anazungumza na Jean Kasami./sites/default/files/2024-07/invite_swahili_jean_moreau_tubibu.mp3