Innocent Tuyisabe : Shida kubwa ya wakimbizi ni njaa

 

Mgeni wa Redio Okapi ni Innocent Tuyisabe, mratibu wa ‘’ Action pour la protection civile et le développement, en sigle APROCIDE". Muundo unaofanya kazi katika kukuza sekta nyingi, zikiwemo haki za binadamu, ulinzi wa watoto, usalama wa chakula, mazingira, na nyinginezo. Katika mahojiano haya na Chris MUKAND, Innocent Tuyisabe anazungumza kuhusu kuingilia kati kwa muundo wake katika makambi machache ya wakimbizi wa vita yaliyo katika tarafa la Nyiragongo. Mbegu zilisambazwa kwa takriban familia mia moja.

/sites/default/files/2024-12/101224-p-s-invitegomainnocenttuyisabeaprocide-00-web.mp3