Amos Kalegamire Bazamuka : Nafasi wafungwa walikuwa nayo ilikuwa mbovu sana

Mgeni wetu wa leo anaitwa Amos Kalegamire Bazamuka, mshauri wa sheria na utawala wa liwali wa jimbo la Kivu Kusini. Alitoa maoni yake baada ya kushiriki katika sherehe za makabidhiano rasmi ya MONUSCO katika ukumbi wa Palais de Justice uliopo Bukavu, wa jengo  linalojumuisha vyumba tatu, vyoo vinne na chumba cha kuhifadhia vitu vilivyokamatwa kwa wafungwa wa gereza la mahakama ya Bukavu. Amos Kalegami anazungumza kwenye kipaza sauti cha Jean Kasami.

/sites/default/files/2025-01/210125-p-s-invitebukavuamos_kalegamire-00-web.mp3