Mwikima Mwanza : Kwa kazi ya mikono hakuna siku mtu atalala njaa

Kuanzia askari mtoto hadi mkufunzi wa useremala: hii ni safari ya Mwikima Mwanza, anayepatikana katika kituo cha mafunzo ya ufundi cha Komanda, kilomita makumi saba na tano kusini mwa Bunia. Alijifunza useremala baada ya kuondolewa katika kundi lenye silaha mwaka wa 2006. Leo, anasimamia vijana walio katika hatari katika kituo cha mafunzo kilichojengwa na kuwekewa vifaa na MONUSCO huko Komanda, kupitia Sehemu yake ya Kupokonya Silaha, Uondoaji, Ujumuishaji na Uimarishaji. Mwikima Mwanza anazungumzia maisha yake ya nyuma katika mahojiano haya na Sadiki Abubakar.

/sites/default/files/2025-04/150425-p-s-invitebuniamwikimamwanzaexenfantsoldat-00-web_.mp3