Grace-Evody MADIRA : Ituri watu hawapatii sinema thamani yake.

Siku ya ine tarehe makumi mbili na saba Machi, ulimwengu unaadhimisha Siku ya sinema. Huko Ituri, mazoezi ya sinema yanakufa kutokana na ukosefu wa usaidizi. Grace-Evody MADIRA, mwigizaji na mkuu wa ANI, kituo cha msaada kwa vijana katika mji wa Bunia, anaelezea hali ya shughuli za sinema katika jimbo hili. Anazungumza kuhusu hili na Jean Claude Loky Dile.

/sites/default/files/2025-04/170425-p-s-invitebuniagrace-evodymadiracomedienne-00.mp3