Kampeni ya chanjo ya polio ilianza siku y aine tarehe kumi Aprili, katika majimbo ya Haut Katanga, Haut Lomamie, Tanganyika, Kinshasa, Tshopo na Maniema. Kampeni hii ya siku tano, kuanzia tarehe kumi hadi kumi na ine Aprili, ililenga watoto wenye umri wa miaka ziro hadi kumi na ine, ambayo ni ya kwanza katika historia ya chanjo nchini Kongo. Ili kujadili hili, tunamkaribisha Daktari WALUMBA OMARI, mkuu wa tawi la PEV Kindu. Anajibu kwa maswali ya Florence KIZA LUNGA.
/sites/default/files/2025-04/230425-p-s-invitekindudrwalumbaomaripev-00-web.mp3