Archipe Kyusa: Sisi wauguzi kila mara tunatumika ndani ya woga

 

Siku ya Kimataifa ya Wauguzi iliadhimishwa siku ya kwanza tarehe kumi na mbili Mei. Katika hafla hii, muuguzi anayehusika na uchunguzi wa magonjwa katika mtaa wa afya wa Oicha katika tarafa la Beni alitoa picha ya kutisha ya maisha ya kitaaluma ya wauguzi. Vipaumbele vitatu vya kimkakati vya kuboresha mazingira ya kazi ya wauguzi ni ulinzi, malipo na elimu endelevu ya wauguzi, alisema Archipe Kyusa katika mahojiano haya ya simu na Marc Maro Fimbo.

/sites/default/files/2025-06/050625-p-s-invitebeniarchipekyusainfirmier-00-web.mp3