" Turu ya pili ya uchaguzi wa uraisi uta tosha kweli kwa kuchagua raisi mupya wa jamuhuri yakidemocrasia ya kongo ? "

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

” Turu ya pili ya uchaguzi wa uraisi uta tosha kweli kwa kuchagua raisi mupya wa jamuhuri yakidemocrasia ya kongo ? Turu ya patu na y aine zina weza kuendeshwa wala apana ? ”

* Tuanze na swali la mwisho. Turu ya tatu na y aine ya uraisi havi weze kufanyika, sababu hazi kutayarishwa.Katiba ya taifa na cheria ya uchaguzi vina sema kuhusu tuu round ya kwanza na ya pili ya uchaguzi wa uraisi. Cheria hizo mbili hazi oneshe turu ua zaidi.
Pengine, kutokana na utafiti wetu, hakuna taifa ingine ulimwenguni iliyo endesha uchaguzi wa uraisi zaidi ya turu mbili.
Aina nyingi za uchaguzi zipo kwa kweli ulimwenguni, lakini, katika uchaguzi wowote, na iwe katika hali gani ya uwongozi, uchaguzi wa uraisi una fanyika mara moja, wala mara mbili.
Cheria ya ucjaguzi ina sema kwamba ana tajwa prezidenti wa taifa, mgombeaji aliye chaguliwa na asilimia makumi tano kupita kura moja.Kama hakuna kandideti aliye chaguliwa namna hio katika turu ya kwanza, hapo turu ya pili ina endeshwa.
na li chinda La loi électorale dit je cite : Est Cheria ya taifa ina sema pia hivyo, prezidenti wa taifa ana chaguliwa kwa kura ailimia kuongeza moja. Kama sivyo, round ya pili ina endeshwa.

” Sasa, raisi mupya wa jamuhuri yakidemocrasia ya kongo ata chaguliwa LAZIMA katika turu ya pili ya uchaguzi ? ”

* Hakuna sababu yenye kusema kwamba zamu ya pili haitoa tosha. Raisi mupya wa jamuhuri yakidemocrasia ya kongo ata chaguliwa kweli katika turu ya pili sababu hakuna njia ingine ya kidemocrasia ya kuchagua prezidenti.
Sababu ingine yenye kuhakikisha ni shurti nyepesi za turu ya pili ya uchaguzi wa uraisi.
Kama kwa zamu ya kwanza, cheria ina omba kupata kura asilimia zaidi ya moja, katika turu ya pili, cheria ina sema kwamba idadi ya juu ya kura ina tosha. Katiba ya taifa ina sema :rnAna tajwa katika turu ya pili, mgombeaji aliye pata kura nyingi.

Texte de DONAT MADIMBA, rnTraduit en Swahili par Jean Desire Kanyama