Habari z'asubuhi

  • Kinshasa : Siku ya Kimataifa ya Wanawake ilisherekewa jana tarehe nane Machi. Mjini Kinshasa, Rais wa Kongo alihuzuria mkusanyiko wa wanawake kunako palais du peuple. 
  • Kisangani : Huko Kisangani Wanawake wa AFEVADES, wanatengeneza makaa yanayoitwa makala vert wakitumiya taka za mbao ili kupambana na uharibifu wa misitu. 
  • Lubumbashi : Maiti ziliokotwa tena katika maeneo tofauti katika mji wa Lubumbashi. Polisi inaomba ushirikiano wa watu wote ili kuwaondoa wauaji hawa ambao wanaeneza ugaidi katika jiji hilo.

/sites/default/files/2023-03/090323-p-s-journalswahilimatin-00_web.mp3