Habari zetu za jumatano september 3 mwaka 2025.
- Constant Mutamba, aliyekuwa Waziri wa Sheria, alipatikana na hatia ya ubadhirifu wa fedha za umma. Mahakama ya Cassation ilimhukumu Jumanne miaka mitatu ya kazi ya kulazimishwa, pamoja na adhabu za ziada.
- Mkutano kuhusu amani, ukimya na ushirikiano wa Afrika ulioandaliwa na Wakfu wa Thabo Mbeki unagawanya wanasiasa wakongomani.. Mazungumzo haya, yatalenga hasa zaidi swli la DRC, tangu Jumatano, Septemba 3 hadi, Septemba 6 nchini Afrika Kusini.
- Kuhusu afia mjini Kinshasa: Visa vipya vya kipindupindu na vifo vimeripotiwa katika eneo la afya la Masina 1, hasa eneo la Machinjio 2. Wakaaji wengi wanaomba serkali ipate kugawanya haraka chanjo zidhi ya ugonjwa huo.
/sites/default/files/2025-09/03092025-journalswahilimatin-00web.mp3