journal matin

Habari zetu za Jumanne  tarehe 2 disember 2025.

  • - Declaration fin maladie a virus Ebola a Bulape.
  • -Matadi: Familia 280 za wavuvi zinateseka tangu kunyang'anywa vifaa vyao vya uvuvi.
  • -Bunia: Kuporomoka kwa daraja la Nizi na matokeo yake.
  • Kananga: Lucha na kampeni ya Salongo.
  • -Beni: Siku ya UKIMWI Duniani, PNLS inahimiza watu wanaoishi na VVU kutumia dawa za kupunguza makali ya VVU.
  • -Kisangani: Siku ya UKIMWI Duniani.
  • -Mbujimayi: Uzinduzi wa shughuli za mfuko wa bima ya afya ya walimu ulioidhinishwa.
  • -Kinshasa: Unyanyasaji wa wasichana wanaoendesha pikipiki.
  • -Kinshasa: Zaidi ya madawati 200 yasambazwa kwa shule za umma Kwango.

2eme partie.

Huko Beni, Kivu Kaskazini, ni katika mazingira gani ilisherekewa mwaka huu Siku ya Kimataifa ya Mkataba wa Haki za Mtoto, inayoadhimishwa kila tarehe 20 Novemba? Tuna mpokea Presidenti wa bunge la watoto mjini Beni. Eloge Bwanakawa ana ongea hapa na Marc Maro Fimbo…

 Ripoti maalum

Jamii za Yainyongo-Romee katika eneo la Isangi na zile za sekta ya Lobaie katika eneo la Opala zimefanya amani. Ijumaa iliyopita, walitia saini barua ya upatanisho kuhusu mipaka ya maafikiano ya misitu ya jamii huko Yainyongo. Pia waliahidi kuishi kwa mshikamano baina ya jamii na kuwa macho dhidi ya jambo lolote litakaloweza kuharibu uhusiano wa mababu zao. Nini kilikuwa chanzo cha mivutano kati ya jamii hizo mbili? Na ni maelewano gani yaliyofikiwa? Ripoti ya Jacques Mukonkole…

/sites/default/files/2025-12/021225-p-s-journalswahilimatin-00okweb.mp3