Habari za leo siku ya pili , tarehe 17226
- .Ukumbi wa mji mkuu Kinshasa uta weka mipaka kwenye nafasi , Ambapo Nyumba, ambazo zilizo jengwa ki nyume na sheria, zitabomolewa
- .Jimboni Ituri, kikao cha wabunge wa jimbo, kilianza mfululizo wa mashauriano, na makundi mbalimbali ya wakaaji ,Siku ya kwanza hii mjini Bunia.
- .Katika muji wa Muanda, jimbo la Kongo- central ,maïti makumi tatu ya masikini, Zili zikwa mwsiho wa juma hii , kutokana na opereshen ya Ku tosha maïti zote za wa maskini, Katika tchumba tcha maïti , iliyo anzishwa na Hospital Kuu ya Muanda .
- /sites/default/files/2026-02/17022026-journal_swahili_mardi_matin-web.mp3




