Journal matin

Habari ya leo siku ya tatu , 040326

  • ukwaa la Kitaifa linalo husiana na Masuala ya Kimila , lilianzishwa Siku ya kwanza iliyopita mjini Kinshasa, na Rais wa Jamhuri , Félix Antoine TSHISEKEDI. 
  • .Katika Jimbo la Ituri, kumepita miaka miwili na myezi sita ,  bila kesi hâta  moja ya jinai,  kutekelezwa katika Mahakama,  ya Mambasa, kutokana na ukosefu wa majaji katika mamlaka hii.
  • .Kivu Kaskazini, Kituo cha msaada na matunzo ,  wa Kisaikolojia na Kijamii cha Musimba, kilicho kati ya  mji wa Butembo na eneo la Lubero, kina pokeya wagonjwa zahidi na zahidi kwa wakati huu.
  • /sites/default/files/2026-03/kavira_0.mp3