Journal Soir

Habari za jioni 29 Aprili, 2025

  • Kinshasa : Familia nyingi zinalala inje kwenye kituo cha treni cha Kintambo mjini Kinshasa kutokana na kazi ya kubomoa nyumba zao na viongozi wa jiji. Wahanga  wanasema wamepoteza kila kitu na hawana pa kuenda
  • Bunia : Huko Ituri, uvamizi mpya wa makundi yenye silaha ya CODECO na ZAIRE yanasababisha vifo vya watu katika tarafa la Djugu
  • Lubumbashi : Katika jimbo la Lualaba, polisi waliwasilisha week end hii, kundi la watu wanaoshukiwa kuwa majambazi wenye silaha kwa Waziri wa Mambo ya Ndani wa jimbo huko Kolwezi. Miongoni mwa watu hao kuna kamanda wa polisi./sites/default/files/2025-04/290425-p-s-journalswahilisoir-00-web_0.mp3