Journal Soir

Habari za jioni 30 Aprili, 2025

  • Goma : Askari jeshi na askari polisi wa Kongo waliokuwa chini ya ulinzi wa Monusco mjini Goma katika Kivu Kaskazini tangu kukaliwa kwa mji na waasi wa M23 wameanza kuhamishwa hadi mjini Kinshasa tangu hii siku ya tatu. Wako na familia zao. Operesheni hiyo inayofanywa na CICR inakaribishwa na Jeshi la Kongo pamoja na Monusco  
  • Doha : Wawakilishi wa nchi sita zikiwemo Kongo, Rwanda, Qatar, Togo, Marekani na Ufaransa walikutana hii tarehe makumi tatu Aprili  mjini Doha, inchini Qatar kuzungumzia hali ya usalama inayoendelea mashariki mwa Kongo
  • Kinshasa : Ni siku ya kitaifa ya mwalimu inchini Kongo hii tarehe makumi tatu aprili. Kwa ajili hiyo, waziri wa Elimu ya Kitaifa na Uraia Mpya Raissa Malu anawapongeza walimu wote inchini.

/sites/default/files/2025-04/300425-p-s-journalswahilisoir-00-web.mp3

Dans la même catégorie

14/08/2025 - 17:35
/
14/08/2025 - 17:04
/
14/08/2025 - 16:59
/
14/08/2025 - 16:55
/
14/08/2025 - 16:49
/