Habari za mangaribi, siku ya pili 070426
- Juma iliyopita, waasi wa LRA , waliingia tena katika kijiji cha Bale, kilichoko katika kundi la Ebale l, ufalme wa Sasa.
- Ingawa kuli gunduliwa nyenzo za mionzi, ama radioactifs, zilizo hatarisha maïsha Ya Watu , katika kampuni ya KCC huko Kolwezi, bado, hakuna hatua zilizo chukuliwa, ili kulinda tovuti na kulinda watu , walio wazi kwa mionzi
- Tangu Aprili 3, suala la ukarabati wa Uwanja wa Ndege wa Mavivi ulioko Beni, jimbo la Kivu Kaskazini, limefikishwa mbele ya Bunge.
- /sites/default/files/2026-04/07042026-p-s-journalswahili-mardisoir-web.mp3








