Journal swahili de vendredi matin, 100426

Habari za asubuhi, siku ya tano tarehe 100426

  • Jimboni Kivu Kusini, takriban watu wawili wame poteza maïsha , makumi mbili , bado hawaja patikana , na makumi mbili na tatu wali pona,  baada ya kuzama,  kwa  boti inayo tembezwa kwa machini, kwenye Ziwa Kivu,  kati ya Idjwi na Kalehe.
  • Katika jimbo la Ituri, wajumbe kutoka Wizara ya Sheria pia wa MONUSCO , walikutana Siku Ya tatu  iliyopita na gavana wa kijeshi wa Ituri  , ili Ku zungmuza , kuhusu matatizo ya kizuizini , katika Gereza,  la Bunia. 
  • Mjini Kinshasa, hivi majuzi, wanawake wengi , wamekumbatia kucha za Ku bandika , ili kuboresha,  mwonekano wao.
  • /sites/default/files/2026-04/10042026-journalswahili-vendredimatin-web.mp3