Kikundi cha kimataifa kihusikacho na maswala za usalama munamo kanda la Maziwa Makuu kimeridhishwa na makubaliano kati ya serikali ya DRC na waasi wa FDLR upokonyaji silaa la hawa.
Malisho mabaya kwa watoto yazidi kuwa changamoto kubwa jimboni Kasaï-Oriental, ila juhudi za kupiganisha hali hii zinaendelea kufanyika
Na huko Matadi, Wazazi wengi bado hukumbwa na shida za pesa ili kuandaa kurudi kwa watoto wao shuleni wakati, Wafanyabiashara nao wanalalamika kuhusu hali hiyo...
/sites/default/files/2026-08/1408026-p-sw-journal_vendredi_soir-00_0.mp3







