Journal swahili de lundi soir 230326

Habari za mangaribi siku ya kwanza 232326

  • Mjini Kinshasa, maduka kazaaa  yanayomilikiwa na wafanyabiashara wa Indo-Pakistani , yali baki Ya  kufungwa Siku ya kwanza hii , kwani  wafanyikazi wana shutumu  kuto heshimiwa kwa kima cha chini cha mshahara ,  SMIG kwa kifupi  ,  kulingana na Sheria ya Congo.
  • Jimboni Ituri, wanajeshi Wa FARDC  waligundua akiba ya silaha na risasi Siku ya mungu  iliyopita katika kijiji cha Jingo,  eneo la Djugu.
  • Jimboni Lomami, Baada ya mvua kubwa iliyonyesha , na upepo mkali ulioukumba mji wa Mwene Ditu, radi  ili muua mtu mmoja, vitu vyengi vime haribiwa.
  • /sites/default/files/2026-03/23032026-p-f-journal_swahili-lundisoir-web.mp3