Habari za mangaribi, siku ya ine tarehe 090426
- Jimboni Kivu Kusini, takriban watu wawili wame poteza maïsha , makumi mbili , bado hawaja patikana , na makumi mbili na tatu wali pona, baada ya kuzama, kwa boti inayo tembezwa kwa machini, kwenye Ziwa Kivu, kati ya Idjwi na Kalehe.
- Katika jimbo la Ituri, wajumbe kutoka Wizara ya Sheria pia wa MONUSCO , walikutana Siku Ya tatu iliyopita na gavana wa kijeshi wa Ituri , ili Ku zungmuza , kuhusu matatizo ya kizuizini , katika Gereza, la Bunia.
- Mjini Kinshasa, hivi majuzi, wanawake wengi , wamekumbatia kucha za Ku bandika , ili kuboresha, mwonekano wao.
- /sites/default/files/2026-04/09042026-journalswahili-jeudisoir-web.mp3








