Gertrude Kitembo Mpala, mkuu wa bunge la jimbo la Maniema

Tunamkaribisha bi Gertrude Kitembo Mpala , mkuu wa bunge la jimbo la Maniema. Kama unavyojua ilipangwa siku ya pili tarehe kumi na nane mwezi tunao, uchaguzi wa magavana na makamu wa gavana wa jimbo la Maniema. Uchaguzi huu haukufanyika tena kwa sababu ya uamuzi wa Baraza la Serikali kusimamisha utekelezaji wa kalenda ya CENI inayotaka kurejelewa kwa uchaguzi wa magavana na makamu wa gavana wa Maniema. Kwa kulizungumzia, sikiliza mahojiano haya ya Bi Gertrude Kitembo Mpala na mwandishi wetu  Florence Kiza Lunga.

/sites/default/files/2022-10/20102022-p-s-invitegertrudekitembompalaagmaniena-00_web.mp3