Vianey WATSONGO, mwandishi wa habari katika Redio RTDH-Fm, katika tarafa la Rutshuru jimboni Kivu Kaskazini

Walikuwa na wanahabari kumi na wawili kutoka Rutshuru na Kiwanja, ambao walifika Goma siku ya kwanza jioni, kwa msaada wa Monusco. Miongoni mwao, Vianey WATSONGO, mwandishi wa habari katika Redio RTDH-Fm. Vianey ni mgeni wetu leo. Kwenye maikrofoni ya Redio Okapi, anasimulia safari yake ya kwenda Goma, baada ya kukaa siku nne katika makao ya Monusco huko Kiwanja, hadi kuhamishwa kwake kwa helikopta. Anajibu kwa masuali ya Jules NGALA. 

/sites/default/files/2022-11/021122-p-s-invitevianeywatsongojournalisterutshuru-00_web.mp3