Alice Wairimu Nderitu, mshauri maalum wa umoja wa mataifa wa kuzuia mauwaji ya halaiki

Mwalikwa  wetu wa siku ni mshauri maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa kuzuia mauaji ya halaiki anayeishi aliyekuwa hapa mjini Kinshasa . Bi Alice Wairimu Nderitu anazungumza kuhusu ziara  yake nchini Kongo  na kutoa wito kwa Wakongomani  kupambana na matamshi ya chuki.  Tumsikilize./sites/default/files/2022-11/invitee_swahili_alice_nderitu-web.mp3