Astrid Mujinga kutoka jimbo la Kivu ya Kusini

Vyoo vya umma vinakarabatiwa katika soko la Nyawera, katika Kata Ndendere, manispa Ibanda. Kazi hizo zinafanywa na chama cha CFCEM/Genre en Action, kwa msaada wa washirika wake wa Uingereza OVERDUE na kwa kushirikiana na Manispaa Ibanda inayosimamia soko hili ambapo vyoo vinakarabatiwa. Mratibu wa Cordon des Femmes pour l'Equilibre des Ménages(CFCEM)/Genre en Action anaarifu kwamba miundo hii ya afya itasaidiya hasa wanawake wanaoenda  sokoni mara kwa mara. Astrid Mujinga, mgeni wetu wa siku, anajibu kwa maswali ya  Jean Kasami. /sites/default/files/2022-12/06122022-p-s-bukavuinviteastrid_mujingatoilettespubliques-00_web.mp3