Tommy Tambwe Ushindi, Mratibu wa P-DDRCS

Mratibu wa kitaifa wa mpango wa kupokonya silaha, uondoaji, uokoaji wa jamii na uimarishaji, P-DDRCS,  TOMMY TAMBWE USHINDI alikuwa ziarani huko Kindu katika jimbo la Maniema na wajumbe mchanganyiko unaoundwa na wajumbe wa P-DDRCS na MONUSCO wakisaidia watendaji wa jimbo la Maniema katika kazi ya kuandaa mpango wa uendeshaji wa mkoa na kuweka mashauriano na mfumo wa kusaidia P-DDRCS. Tayari kazi ya mashauriano ilianza siku ya pili na wawakilishi wa makundi yenye silaha, viongozi wa kimila, shirika la raia na kundi nyingine za raia. TOMMY TAMBWE ni mgeni wetu, anazungumza na Florence KIZA LUNGA /sites/default/files/2022-12/0812022-p-s-invitekindutommytambwepddrcs-00_web_.mp3

 

Recevez Radio Okapi par email

Donnez votre adresse email dans ce formulaire afin de recevoir tous nos articles dans votre boîte email. Vous recevrez un message de confirmation avec un lien sur lequel il vous faudra cliquer afin que l'envoi d'emails devienne effectif.
Si vous ne voyez pas l'email de confirmation dans votre boîte de réception, allez chercher dans vos spams et marquez le message comme "non spam".  

Votre adresse email :

Service offert par FeedBurner