Esperance Kazi: Serikali ya Kongo haijatoa fursa za kutosha kwa wanawake

Ni taswira gani wanawake wa Beni watolea sherehe hii ya mwezi wa mwanake? Ni vizuizi gani vinavyo kwamisha Utetezi wao kusikika na nini inabidi ifanyike ili haki za mwanamke zieshimike hasa apate piya nafasi kunako ngazi za juu? Kwa kujibu kwa maswali haya, tunapokea kama mgeni kiongozi wa shirika la One Girl One Leader, ambalo ni shirika la kutetea haki za mwanamke mjini Beni. Esperance Kazi, azungumuza na Marc Maro Fimbo.

/sites/default/files/2024-03/190324-p-s-invitebeniesperancekazi-00-web.mp3