Salima Sulubika Bijou : Kazi ya kuuza karanga inanisaidiya sana hasa kujibu mahitaji ya nyumbani

Mgeni wetu ni Salima Sulubika Bijou, mwanamke mjasiriamali anayefanya kazi katika sekta ya mazao ya kilimo. Kwa takriban miaka miwili sasa, amekuwa akibadilisha karanga kuwa ugali wa karanga, inayouzwa chini ya chapa ya "GLODI WOMEN". Shughuli ambayo anaifanya kwa mapenzi makubwa na ambayo tayari inampatia manufaa. Katika mahojiano haya na Denise Lukesso, anazungumzia maendeleo yaliyopatikana baada ya miaka miwili alipotoka kwa kilo mbili za karanga hadi mfuko wa kilo mia moja leo.

/sites/default/files/2024-04/020424-p-s-invitegomasalimasulubikabijou-00-web.mp3