Uchunguzi wa kujua idadi ya wenyi kutumia vyombo vya upashaji wa habari kwa njia ya simu- hatua ile inaambatana na sheria ya inchi ?

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

Waalikwa :rn-Martin MUKONKOLE, mwanabunge la taifa na ni mwanamemba wa kundi la wanabunge wa ODR ;rn-Jean-Luc MUTOKAMBALI mwanabunge la taifa na ni mwanabunge wa kundi la wanabunge huru;rn-Désiré KADANGE, mwanamemba wa shirika la wenyi kutumia vyombo vya upashaji wa habari na ni msimamizi wa shirika la rahiya.