journal matin

Habari zetu za Alhamisi tarehe 18 september.

  • Bunge la Kitaifa limepitisha nakukubali kuanzishwa kwa kamati maalum na ya muda iliyopewa jukumu la kuchunguza maombi ya kutaka kufutwa kazi kwa wajumbe watano wa ofisi ya bunge akiwemo Rais Vital Kamerhe. Haya yalifanyika wakati wa kikao cha Jumatano mjini Kinshasa, kilichoongozwa na Isaac Jean-Claude Tshilumbayi, Mmkamu wa Kwanza wa bunge.

 

  • Pale Bulape, eneo la Mweka katika jimbo la Kasai. Wagonjwa wa wawili wa kwanza kupata ugonjwa wa Ebola walionekana kuponywa kikamilifu waliondoka Hospitali Jumanne, na kurejea nyumbani baada ya matibabu ya siku chache. Vile vile shuruli za kugawanya. chanjo zidi ya ebola zaendeleya.

 

  •  Mjini Goma, wakaazi wa kata Lac Vert wanasema kuishi kwa uchungu kutokana na kuongezeka kwa usalama mdogo. Watu  wenye silaha za moto huingia na kuiba katika makazi ya wakaaji. Hali hii ndiyo inaleta woga na hasira kwa wakaaji ambao wanawapigwa watu wanao shakiwa kuwa bandiya.

/sites/default/files/2025-09/18092025-journalswahilimatin-00okweb.mp3