Habari zetu za jumatano tarehe 30 julay 2025.
- Shirika la Kiraia inchini inalaani mauaji ya kuchukiza, yaliyotekelezwa katika mji wa Komanda huko Ituri na kusababisha vifo vya takriban raia 43 wa amani pamoja na uharibifu mkubwa wa mali. Shirika hili labainisha kuwa mauwaji haya kali yanajitokeza kisha mauwaji mengine mengi pale Mahagi, Djugu, Irumu na Mambasa.
- Hali ya uchafu mwingi inasonga afia ya wakaaji mjini kinshasa na kuleta hatari kubwa ya maafa kabla ya mvua ijayo kunyesha. Maoni hiyo ni yake Serge Etinkum Anza, ambaye ahakikisha kama inawezekana bado kuifanya Kinshasa kuwa na afya njema.
- Zaidi ya Dola za Kimarekani milioni 8 zitatolewa ifikapo katikati ya Agosti ili kufuta sehemu ya deni la hifadhi ya jamii la Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Bakwanga kwa wastaafu 1,047 wa MIBA.
/sites/default/files/2025-07/30072025-journalswahilisoir-00web.mp3