Habari zetu za Jumanne tarehe 23 september 2025.
- Raisi wa jamuhuri atazungumza Jumanne hii saa moja jioni saa za kinshasa , itakuwa saa mbili usiku saa za Goma, mbele ya Umoja wa Mataifa. Huko pia atateteya kukubaliwa kwa GENOCOST ya Kongo, yaani "Mauaji ya Kimbari kwa lengo za kiuchumi."
- Mjini kinsahsa Zaidi ya nyumba 150 za bati za maafisa wa polisi katika kwenye Camp Kabila ndani ya wilaya ya Lemba ziliteketea kwa moto .Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Ndani na Usalama aliotembelea kambi hiyo, na uchunguzi unaendelea.
- Pale Mbujimayi wanawake 60 wenye ugonjwa wa fistula wamefanyiwa upasuaji mkoani Moba. Hii ni kiisha kampeni ya bure iliyoandaliwa katika Hospitali Kuu ya Kirungu katika eneo la afya la Moba na Shirika la ARTEMEDIS. Operesheni kwa wagonjwa ilifanyika katika hali ngumu sababu yakukosa fivaa
- ./sites/default/files/2025-09/23092025-journalswahilisoir-00web.mp3