Habari za mangaribi siku ya tatu 110326
- MONUSCO, inalaani vikali shambulio la ndege zisizo na rubani ama drones , zilizotekelezwa Siku ya tatu hii asubuhi , mjini Goma.
- Katika jimbo la Kivu Kusini, eneo la afya la Mwenga, linakabiliwa na mlipuko wa kipindupindu.
- Mjini Kisangani, Mwanahabari Serge Sindani, mkurugenzi wa kituo cha habari cha mtandaoni Kis24.info, anakamilisha zaïdi ya juma moja , Ya kuzuiliwa katika Shirika la Kitaifa la Ujasusi.
- /sites/default/files/2026-03/110326-p-s-journalswahilimercredisoir-web.mp3






