Bishop Fabien Katembo, mwanamemba wa muungano wa viongozi wa dini mjini Beni

 

Mwalikwa wetu wa leo ni Askofu Fabien Katembo kutoka muungano wa viongozi wa dini wa Beni. Anatoa wito kwa wakaazi kuacha MONUSCO  kufanya kazi yake yakulindawalinda hadi itakapojiondoa ifikapo mwaka wa elfu makumi mawili na inne . Alisema hayo  baada ya mkutano kati ya mwakilishi makamu  maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na operesheni na ulinzi nchini Kongo  na muungano wa viongozi wa kidini wa Beni. Askofu Fabien Katembo anajibu kwa masuali ya  Martial Papy Mukeba/sites/default/files/2022-10/invite_swahili_du_mardi_041022_web.mp3